Compartir
Mapenzi Bora (en Swahili)
Shaaban Robert
(Autor)
·
Mkuki na Nyota Publishers
· Tapa Blanda
Mapenzi Bora (en Swahili) - Robert, Shaaban
$ 107.345
$ 178.909
Ahorras: $ 71.564
Elige la lista en la que quieres agregar tu producto o crea una nueva lista
✓ Producto agregado correctamente a la lista de deseos.
Ir a Mis Listas
Origen: Estados Unidos
(Costos de importación incluídos en el precio)
Se enviará desde nuestra bodega entre el
Lunes 15 de Julio y el
Miércoles 24 de Julio.
Lo recibirás en cualquier lugar de Colombia entre 1 y 5 días hábiles luego del envío.
Reseña del libro "Mapenzi Bora (en Swahili)"
Kwa zaidi ya miaka na tano vitabu vya mwandishi maarufu kushinda wote katika jamii za Waswahili kote Afrika ya Mashariki na Kati, Marehemu Sheikh Shaaban Robert, havikupatikana Tanzania. Sababu ya kukosekana kwa vitabu hivyo ni kuwa kampuni ya kigeni iliyovichapisha iliamua kuacha kuvichapisha kwa sababu haikulipwa kwa fedha za kegini jamo, lililosabishwa na hali mbaya ya uchumi. Athari za kupotea kwa vitabut vya Sheikh Shaaban Robert katika miaka hiyo ni kwamba Watanzania wengi hasa wale wenye umri chini ya miaka thelathini, kawamjui mwandishi kuyu maarufu na hawakulelewa katika mazingira ya utajiri wa maandishi yake abayo bila shaka yoyote ni mfano pekee wa utajiri wa uridhi wa utamaduni wetu. Kwa kuvichiapisha vitabu vya Marehemeu Sheikh Shaaban Robert tunawakaribisha tena Watanzania, hasa vijana kuvisoma, kuburudishwa na kufunzwa na yale aliyoyaandika kwa sanaa na kipaji adimu.Poems from Shaaban Robert with translated title Worthy Love.
- 0% (0)
- 0% (0)
- 0% (0)
- 0% (0)
- 0% (0)
Todos los libros de nuestro catálogo son Originales.
El libro está escrito en Swahili .
La encuadernación de esta edición es Tapa Blanda.
✓ Producto agregado correctamente al carro, Ir a Pagar.